Airbus Beluga A300-600ST
Airbus Beluga A300-600ST
Ndege aina ya Airbus A300-600ST ( ST imesimama badala ya Super Transporter ambalo ndilo jina lake halisi) lakini ndege hiyo ni maarufu kwa jina la Beluga kutokana na muundo wake kufanana na samaki anaepatikana katika bahari ya Arctic anaye julikana kwa jina hilo. Ndege hiyo ambayo imetengenezwa maalumu kwa aili ya kubeba na kusafirisha mizigo mikubwa.
Hata hivyo, ndege hiyo pia chanzo kwa mara ya kwanza kabisa ilikua iifanana na ndege ijulikanayo kwa jina la "SuperGruppy" na baadaye kutengezwa kwa kufanyiwa mabadiliko makubwa na kampuni hiyo ya ndege ijulikanayo kama Airbus.